Pendekezo la serikali ya kaunti ya Nairobi la kuongeza ada za uegeshaji magari na uzoaji taka jijini miongoni mwa huduma nyingine kutoka mwezi ujao limepingwa vikali na wawakilishi wa wadi.
Wawakilishi hao wameahidi kuupinga mswada wenye mapendekezo hayo pindi tu utakapowasilishwa katika bunge la kaunti.
Aidha wahudumu wa magari wamepuuzilia mbali pendekezo hilo wakimtaka gavana wa Nairobi Mike Sonko kutimiza manifesto yake ya kupunguza ada ya uegeshaji magari kama alivyoahidi wakati wa kampeni zake.
Related Post:
- Mike Sonko aamiri kuondolewa kwa ada ya kutumia vyoo mjini Nairobi
- Sonko on the verge of impeachement
- CARDANO (ADA) HOLDERS WATCH THIS! | NEXT ADA MOVE? | DAILY ADA UPDATE | ADA NEWS | CRYPTO NEWS
- ADA CARDANO – Should You Buy ADA Now? 2023 ADA Cardano Price Prediction – ADA Forecast and Analysis!
- CARDANO PRICE Prediction 2023 | ADA NEWS | ADA Technical Analysis! ADA Coin! ADA PRICE Prediction
- ”Masalah Kena Ada, Tak Ada Masalah Tak Ada Kerjalah Kita!” – Tajuddin Pasir Salak
- CHARLES HOSKINSON : CRYPTO CARDANO ADA,ADA NEWS,CARDANO ADA
- Cardano 70% Price Move Coming! | Cardano UP (ADA/USDT) | ADA is the Future of Blockchain| Ada News
- Why ADA Will Best Crypto in 2023? Cardano News (ADA for Crypto Adoption) Ada Set To EXPLODE
- Why ADA Will Best Crypto in 2023? ❘ Cardano News (ADA for Crypto Adoption) ❘ Ada Set To EXPLODE