Sonko apendekeza kuongeza ada ya maegesho na huduma nyingine

Sonko apendekeza kuongeza ada ya maegesho na huduma nyingine

Pendekezo la serikali ya kaunti ya Nairobi la kuongeza ada za uegeshaji  magari na uzoaji taka jijini miongoni mwa huduma nyingine kutoka mwezi ujao limepingwa vikali na wawakilishi wa wadi.
Wawakilishi hao wameahidi kuupinga mswada wenye mapendekezo hayo pindi tu utakapowasilishwa katika bunge la kaunti.
Aidha wahudumu wa magari wamepuuzilia mbali pendekezo hilo wakimtaka gavana wa Nairobi Mike Sonko kutimiza manifesto yake ya kupunguza ada ya uegeshaji   magari kama alivyoahidi  wakati wa kampeni zake.

Related Post: