Mke asimulia ‘ADA’ ilivyomuua Samadu mtangazaji wa Star TV

Mke asimulia ‘ADA’ ilivyomuua Samadu mtangazaji wa Star TV

Mke asimulia ‘ADA’ ilivyomuua Samadu mtangazaji wa Star TV

Aliyekuwa mtangazaji maarufu hapa nchini kupitia kituo cha Star Tv na RFA Samadu Hassan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Chakechake Mkuyuni wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza.

Kutokana na kifo hicho mke wa Marehemu Anna Samadu amesema mume wake hakuwa na tatizo lolote bali kifo chake kilitokana na presha kushuka baada ya kupokea simu kutoka kwa mtoto wake aliyekuwa anataka fedha za kulipa ada ya chuo pamoja na fedha za matumizi jambo ambalo lilifanya presha kushuka na kusababisha kifo chake.

#RIPSAMADU

SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Related Post: