ZEC yashangaa vyama vya siasa kulalamika mabadiliko ya sheria ya uchaguzi

ZEC yashangaa vyama vya siasa kulalamika mabadiliko ya sheria ya uchaguzi

Tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC imesema ilivishirikisha vyama vyote vya siasa katika mabadiliko ya sheria ya uchaguzi Zanzibar ili kuyaruhusu makundi maalum wakiwemo watumishi wa tume hiyo na wa vyombo vya ulinzi na usalama wapige kura siku moja kabla ya uchaguzi kutokana na majukumu ya kiutendaji wanayokuwa nayo katika siku ya uchaguzi na hivyo kushindwa kupiga kura.

#AzamTVUpdates #BreakingNews, #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO #AzamTVHabari #Habari #UTV #UFM

Related Post: