Maagizo sita aliyoyatoa RC Mghwira kwa Wakuu wa Wilaya katika Mkoa wake

Maagizo sita aliyoyatoa RC Mghwira kwa Wakuu wa Wilaya katika Mkoa wake


January 17, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwira alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mpango wa kijani uliofanyika katika siku ya mazingira katika Wilaya ya Same, utakaowezesha kupandwa kwa miti zaidi ya milion moja kwa mwaka ambapo tayari imepandwa miti elfu moja katika kutekeleza agizo la Makamu wa Rais.

Related Post: