Serikali imesema haina mpango wa kuweka ada elekezi kwa shule binafsi, bali itajikita zaidi kwenye kuboresha kiwango cha elimu. Naibu Waziri wa Elimu William Olenasha ndiye aliyetoa kauli hiyo …
Serikali imesema wanafunzi katika shule binafsi wataendelea kutozwa ada ya mitihani kwa kuwa programu ya 'Elimu bila malipo' haizihusu shule hizo. Naibu Waziri wa Elimu William Olenasha ndiye aliyetoa …
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.