Wanabodaboda Kitale kuandamana wiki nzima kupinga ada
April 30, 2019
Cardano, Crypto News
Wanabodaboda kaunti ya Trans Nzoia wameanzisha maandamano ya wiki moja kupinga ada wanayotozwa na serikali ya kaunti kuhudumu mjini Kitale wakisema kuwa ada hiyo ni ya juu sana. Citizen …