Tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC imesema ilivishirikisha vyama vyote vya siasa katika mabadiliko ya sheria ya uchaguzi Zanzibar ili kuyaruhusu makundi maalum wakiwemo watumishi wa tume hiyo na wa vyombo vya ulinzi na usalama wapige kura siku moja kabla ya uchaguzi kutokana na majukumu ya kiutendaji wanayokuwa nayo katika siku ya uchaguzi na hivyo kushindwa kupiga kura.
#AzamTVUpdates #BreakingNews, #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO #AzamTVHabari #Habari #UTV #UFM
Related Post:
- MAALIM SEIF AWASHUKIA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR (ZEC)
- ACT yaitaka ZEC ijibu hoja za uchaguzi wa mapema
- Rais Mwinyi apokea ripoti ya Uchaguzi wa mwaka 2023 kutoka ZEC, aipongeza kwa kutimiza wajibu wake
- Duni amkosoa Mwinyi kuisifu ZEC, asema uchaguzi Konde utaamua hatma ya GNU, Mama Samia apewa zigo
- HALMASHAURI YA SIMANJIRO YAPITISHA SHERIA MPYA YA ADA NA USHURU
- RC MWANZA ATAKA VIFO VYA MAMA NA MTOTO VINABAKI KUWA HISTORIA
- CHADEMA NA UPINZANI UCHAGUZI MDODO CHAGUENI CCM, KAMPENI SIA
- Майнинг Zcash (ZEC) | Как майнить ZEC (Zcash) легко и просто | Настройка майнинга ZEC Zcash
- #Zcash #ZEC Zcash (ZEC) buy ?, Zcash (ZEC) 200$ ?
- #Zcash #ZEC Zcash (ZEC) buy ?, Zcash (ZEC) 200$ ?