Maneno ya RC Makonda na DC Hapi kwenye picha za Freeman Mbowe


January 9 2018 kuna mambo mengi yametokea na yame-trend katika mitandao ya kijamii kutokana na uzito wake, kwa upande wa wanamichezo kitu kilichokuwa kinazungumzwa sana ni kuhisiana na kifo cha mchezaji wa zamani wa Yanga Athuman Juma Chama. Tumeona watu mbalimbali wakijitokeza kumzika Chama akiwemo Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr Mwiguku Nchemba, kingine kilichotrend ni kuhusiana na Rais John Pombe Magufuli kukutana na waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa.