RC MGHWIRA: ashitukiza alfajiri, akiwa amejifunga ushungi. atema cheche

RC MGHWIRA: ashitukiza alfajiri, akiwa amejifunga ushungi. atema cheche

MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amefanya ziara ya kushitukiza katika soko la Samaki la Manyema kufuatilia utekelezaji wa marufuku iliyowekwa hivi karibuni ya kuzuia shughuli za uvuvi katika Bwawa la Nyumba ya Mungu kwa kipindi cha miezi sita.

Related Post: