#DIAMONDPLATNUMZ KUMALIZIA ADA YA BINTI ALIYEKATWA MGUU NA KUMPA KAZI WASAFI MEDIA

#DIAMONDPLATNUMZ KUMALIZIA ADA YA BINTI ALIYEKATWA MGUU NA KUMPA KAZI WASAFI MEDIA

Msanii @diamondplatnumz baada ya kuangalia Kipindi cha #KWETU Kinachorushwa @wasafitv aliguswa na Tukio lililomkuta Dada yetu Janet Justine ambae anasoma Uandishi wa Habari Pale DSJ na Akaomba leo wakati anazindua @wasafifm na @wasafifestival_ afike ili aweze kuzungumza nae.

Kutokana na Hali ya Dada yetu ya Kiuchumi, #DiamondPlatnumz na Uongozi wake wameamua Kumalizia Ada ya Masomo ya Janet kwa Muhula Uliobaki Chuo lakini pia Kumpatia Nafasi ya Kazi Pindi tu Akimaliza masomo yake.

Related Post: