Binti afyatua tofali kusaka ada ya chuo kikuu

Binti afyatua tofali kusaka ada ya chuo kikuu

Ubunifu na mafanikio havina jinsia, lakini kuna vitu ambavyo imma kwa hiari au mazingira vinakuwa hazina ya jinsia fulani. Ila miaka inavyoendelea, ndivyo mipaka ya mila na tamaduni inavyovunjika.

Binti huyo ambaye ana malengo yake anaweka pembeni jinsia yake na kuamua kufanya kile anachona kitatimiza ndoto zake.

Related Post: