UTEUZI WA RAIS MWINYI LEO WA MKURUGENZI MPYA ZEC WAIBUA MASWALI MENGI MIONGONI MWA WAZANZIBARI

UTEUZI WA RAIS MWINYI LEO WA MKURUGENZI MPYA ZEC WAIBUA MASWALI MENGI MIONGONI MWA WAZANZIBARI

Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ZEC, Bw. Khamis Kona Khamis. Uteuzi huo umeamsha maswali mengi ikiwa mtendaji huyo ataleta mabadiliko katika chaguzi au atafuta nyayo ya watangulizi wake kama vile alimaarufu Jecha Jecha.

Related Post: