Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo upande wa Zanzibar, Juma Duni Haji, anasema ana uhakika sasa kwamba Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) inamuhujumu kwa makusudi Rais Hussein Ali Mwinyi kwa jinsi inavyomuharibia heshima yake kwenye suala la Maridhiano na Umoja wa Kitaifa. Hii ni kufuatia jinsi ilivyoendesha na kusimamia chaguzi ndogo za uwakilishi jimbo la Pandani kisiwani Pemba na udiwani wadi ya Kinuni kisiwani Unguja leo.
Related Post:
- Rais Mwinyi apokea ripoti ya Uchaguzi wa mwaka 2023 kutoka ZEC, aipongeza kwa kutimiza wajibu wake
- Duni amkosoa Mwinyi kuisifu ZEC, asema uchaguzi Konde utaamua hatma ya GNU, Mama Samia apewa zigo
- UTEUZI WA RAIS MWINYI LEO WA MKURUGENZI MPYA ZEC WAIBUA MASWALI MENGI MIONGONI MWA WAZANZIBARI
- MKURUGENZI MPYA WA ZEC AAPISHWA LEO NA RAIS MWINYI
- ADA APA POLISI DAHULUKAN PANGGIL AMIN RAIS?…AMIN RAIS MANGKIR KETAKUTAN
- TBC1: Dkt Shein Apokea Ripoti Kutoka kwa Mwenyekiti ZEC
- ZEC yamfungia Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5.
- Maagizo sita aliyoyatoa RC Mghwira kwa Wakuu wa Wilaya katika Mkoa wake
- Waziri Mkuu uso kwa uso na CHADEMA, UDP, ADA TADEA na Vingine.
- Mkurugenzi wa Chuo akamatwa kwa tuhuma za kutapeli ada