Mkurugenzi wa Chuo akamatwa kwa tuhuma za kutapeli ada

Mkurugenzi wa Chuo akamatwa kwa tuhuma za kutapeli ada

Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi inamshikilia aliyekuwa Mkurugenzi wa Chuo Cha Zibert Khatib Mjaka kwa tuhuma za kuwatapeli ada ya chuo wanafunzi zaidi ya hamsini kwa kuwataka kuziingiza fedha hizo kwenye akaunti yake binafsi.

Kamanda wa Polisi Kamishna Msaidizi Thobias Sedoyeka amesema Mkurungenzi huyo amekamatwa Kisiwani Pemba baada ya kufanya udanyanyifu huo na kufundisha kozi ya ualimu wa chekecheka katika chuo kinyume na taratibu za ujasili wa kozi hiyo

Related Post: