Maalim Seif 'amchemsha' Mwenyekiti wa ZEC, naye achemka

Maalim Seif 'amchemsha' Mwenyekiti wa ZEC, naye achemka

Baada ya kukabidhiwa mkoba wenye fomu za uteuzi wa kuwania urais wa Zanzibar, mgombea wa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, alikuwa na maswali matatu yaliyompa changamoto kubwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud.

Related Post: