Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi leo amemuapisha mkurugenzi mpya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ZEC, Bwana Khamis Kona Khamis. Wateule wengine walioapishwa leo ni makatibu wakuu wa wizara …
Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ZEC, Bw. Khamis Kona …
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Juma Duni haji amemshangaa Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi kuisifu Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ZEC, kuwa imefanya kazi nzuri katika uchaguzi wa 2023 …
We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it.