RC Morogoro atolea ufafanuzi maagizo aliyoyatoa kuhusu bonde la Kilombero

Siku kadha zikiwa zimepita tokea Mkuu wa mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare ametolea ufafanuzi moja ya maagizo aliyoyatoa siku kadhaa zilizopita kuhusu matumizi ya ardhi katika bonde la Kilombero ambalo wakulima wengi katika bonde hilo wanadaiwa kutolielewa vizuri.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Post Author: CoinCryptoNews