Kauli ya serikali kuhusu ada ya mitihani kwa wanafunzi wa shule binafsi

Kauli ya serikali kuhusu ada ya mitihani kwa wanafunzi wa shule binafsi

Serikali imesema wanafunzi katika shule binafsi wataendelea kutozwa ada ya mitihani kwa kuwa programu ya ‘Elimu bila malipo’ haizihusu shule hizo.

Naibu Waziri wa Elimu William Olenasha ndiye aliyetoa jibu hilo #Bungeni leo wakati akijibu swali la mbunge Viti Maalum, Ester Mahawe.

Olenasha pia ameeleza ni kwanini wanafunzi waliosoma shule binafsi hawapaswi kupewa mkopo wa elimu ya juu baada ya swali la mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea.

Related Post: